Haya mambo yameanza tena kweli uchumi unakua kwa kasi chini ya Serikali ya awamu ya tano.
Kilo ilikua 2400 sasa hivi ni 2800 kwa kilo
Sehemu nyingine kilo mpaka 3000.
Jee kwa hili huyu jamaa anatufaa?jibu ni kwamba hatufai kabisa
mi natumia ASALI ya nyuki wakali (mwanzoni niliota manundu kwa kuchomwa na nyuki ila sasa meshazoeaa), kwani bei ilikuwaje kwa kila mwezi tangu Jan 2018 hadi Dec 2018
Haya mambo yameanza tena kweli uchumi unakua kwa kasi chini ya jiwe letu
Kilo ilikua 2400 sasa hivi ni 2800 kwa kilo
Sehemu nyingine kilo mpaka 3000.
Jee kwa hili huyu jamaa anatufaa?jibu ni kwamba hatufai kabisa
Leo umekuja na hoja za kipumbavu eti dola imepanda hadi 2400 wakati ni 2299.
Sukari watu wananunua elfu 2500 we unatuambia hadi 3000.
Magufuli hababaishwi na maneno ya kipumbavu kama uliyoandika.
Tulia dawa ikuingie utalia mpaka 2025.