barwani
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 238
- 160
Wadau kama ambavyo tumesikia agizo la raisi la kupinga uingizwaji wa sukari toka nje, ninampongeza raisi JPM kwa hili,.
Ila hatua hii kwa kipindi hiki itaifanya bidhaa hyo muhimu kupanda bei mno na kua kero kwa watanzania; sio vibaya kuvipa fursa viwanda vya ndani ila maamuzi haya ni ya ghafla ambayo hayajazngatia madhara ya awali kwa wananchi.
Hofu sio soko, hofu ni ubora na kiwango cha uzalishaji kinachofanywa na viwanda vyetu kama kitaweza kuzalisha kuendana na idadi ya walaji, ngoja tuone.