masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Uking'ang'anizi wa Maalim Seif umeanza kuwakera Wazanzibari walio upande wa pili mstakabali wa kisiasa Zanzibar.
Balozi Amina Salum Ali,aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais Muungano amesemamgogoro wa kisiasa Zanibar hautakwisha hata baada ya Uchaguzi wa marudio kwa kuwa , mgogoro huo ni wa kihistoria na baadhi viongozi hawana nia kuendeleza Serukali ya Umoja wa Kitaifa(SUK) visiwani humo-MWANANCHI,Januari 30, page 1.
"Akiwa ameongozana na makada wengine watatu wa CCM; Mohammed Hija(Balozi ndogo waTanzania -India),Abdalla Rashid(aliyejitambulisha kuwa mshauri wake wa masuala ya kisiasa) na Fatuma Maghimbi, Balozi Amina alisema historia ya mgogoro wa Zanzibar ilianza baada ya mapinduzi ya mwaka 1964.
"Mapinduzi yaliwagawa Wazanzibari, kulikuwa na kundi lilibaki Zanzibar na jingine liliondoka kwenda kuishi nje ya nchi. Hilo n(kundi) ndilo linalotaka uongozi kwa nguvu zote" alisema Balozi Amina
"Pale (Zanzibar) kuna siasa za ndani na siasaza nje ya nchi. Zile siasa zinazoanzia nje ya nchi. Hilo ndiyo zinazovuruga Zanzibar. Kwa maana hiyo suala sikurudia uchaguzi tu, ni kuangalia mambo yote hayo kuona namana gani yanaweza kudhibitiwa"
Mapema Balozi Amina alisema tatizo liko kwa Malim Seif ambaye katika mongei inaelekea hataki maridhiano na anataka tu atangazwe rais,
" balozi huyo alisema siasa za Zanzibar zitaendele kuwa za vuta nikuvute mpaka Maalim Seif atakapotambua maana ya maelewano ni "nipe nikupe""
MY TAKE
Nonda na wngine mlikuwa mkibisha juu ya mustakabali wa Zanzibar kisiasa.
Haya tumeyaongea kama watu wa nje ya Zanzibar.
Sasa yanasemwa na wenyewe wanasiasa huko Zanzibar.
Maelewano ni baina yenu wenyewe.