Sugu: Zile hostel za Magufuli tunadanganywa zimejengwa kwa bil 10 wakati ni zaidi ya bil 54, mimi niko kwenye kamati

Kila mmoja hawezi kukubali kuwa alikuwa anadanganywa ngoja nijitoe muhanga tu potelea mbali walikuwa wananidanganya mimi
 
HABARI,
"Return Of Undertaker,
Mimi binafsi kwenye hili la hostel bado nabaki kumpongeza MH.RAIS hebu tukae na kujifikiria kama watu walitaka kupiga bilioni 100 na kujegwa kwa bilioni 54-60 huoni kama zimeokolewa zaidi ya billioni 40 sasa hivi nashuhudia zahanati zikijegwa kwa kasi sehemu nyingi nchini zaidi ya miaka yote kinamama na watoto walikuwa wanakufa kama serikali inaokoa maisha ya mama zetu na watoto tunataka nini mbona hatulisifii hilo mnyonge mnyongoni ila haki yake mpeni.Mimi sitetei ila msifie hata moja moja tuu zuri linalofanywa na MH.RAIS sio mabaya tu hapa mabaya ttu kila kukicha mabaya tuuuuuu wakati mwingine unaudhi sana ninaamini nyie mnalenu si bure hata kidogo kama kunabaya semeni kama ni la kweli tutalitetea ila mimi kwa hili la hostel hapana acheni dhambi kwahiyo angetoa hizo billioni 100 ndo mngempongeza au?

LUMUMBA
 
Tumepigwa tena, Mungu yupo
endapo Bunge litakataa CAG asifanye ukaguzi kwenye mradi huu, wabunge wa upinzani inabidi wawe proactive.....
watumie njia zote zilizopo za kisheria (ikiwemo mahakama) kuhakikisha watu wanawajibishwa. wafanye kama walivyoamua kufanya kwa Msigwa (yule karani wa ikulu).

wasiishie kunyamazishwa na rungu la spika au kwa shinikizo la wingi wa wabunge vi-la-za wa CCM.

approach hii inatakiwa pia iwe applied kwenye ile ela yetu 1.5tr.
 
Haipendezi rais kuwa na katabia ka uwongo
Huyu wa kwetu ni mwongo hasa. Mambo mengi anayoongea ni ya uwongo. Uwongo na ulaghai ni tabia kuu ya shetani.

Wanaomjua Mungu wamesisitizwa sana kuwa wakweli, tena wameambiwa wauganye ukweli kama mkanda wa askari. Na ukweli umeandikwa katika biblia mara 250, kuonesha ilivyo muhimu kwa watu wanaomjua Mungu kuwa wakweli.

Huyu anayekumbatia uwongo na hadaa ni mfuasi wa nani?
 
54B????? kumbe sio 10B..daaah hawa watu wamezidi kupika hizi data ..wataendelea kuumbuka hv hv..nasikitika kuwa ndugu zangu walioko vijijini bado wana imani na mtu huyu kwakuwa hawana uwezo wa kupata hz taarifa...ila kwakuwa kijana wao nipo hapa nitawafikishia ujumbe maana wao walimshangilia kwa vigelegele wakati akifuta sherehe za uhuru kwa kubana bajeti na sasa bajeti iliyobanwa ndio yatumika vibaya hv

huwa nawashangaa sana hawa wanaojigamba mbele ya umati kuwa ufisadi umezuiwa kwa asilimia kubwa...lakini ukweli ni kuwa ufisadi upo tena ni mkubwa sana...kikubwa ufisadi wa sasa umeongezeka kiteknolojia..hivi sasa keki ya taifa wanoyo ifisadi ni kikundi kidogo ndani ya chama ambacho kimejipa mamlaka makubwa sana..
tutegemee mpasuko mkubwa ndani ya chama kwakuwa keki ni ya wachache msimu huu na hao wachache wanaila kweli kweli
Duh,
Yaani pamoja na kuweko kwa ExJoints-pansion bado zimefikia 54Bil??
 
HABARI,
"Return Of Undertaker,
Mimi binafsi kwenye hili la hostel bado nabaki kumpongeza MH.RAIS hebu tukae na kujifikiria kama watu walitaka kupiga bilioni 100 na kujegwa kwa bilioni 54-60 huoni kama zimeokolewa zaidi ya billioni 40 sasa hivi nashuhudia zahanati zikijegwa kwa kasi sehemu nyingi nchini zaidi ya miaka yote kinamama na watoto walikuwa wanakufa kama serikali inaokoa maisha ya mama zetu na watoto tunataka nini mbona hatulisifii hilo mnyonge mnyongoni ila haki yake mpeni.Mimi sitetei ila msifie hata moja moja tuu zuri linalofanywa na MH.RAIS sio mabaya tu hapa mabaya ttu kila kukicha mabaya tuuuuuu wakati mwingine unaudhi sana ninaamini nyie mnalenu si bure hata kidogo kama kunabaya semeni kama ni la kweli tutalitetea ila mimi kwa hili la hostel hapana acheni dhambi kwahiyo angetoa hizo billioni 100 ndo mngempongeza au?

LUMUMBA
Kazi ipo unapaswa kujua Sugu amelalamikia uongo wa malaika wako alipaswa kuwa mkweli ,alikuwa anamdaganya nani na kwa faida gani
 
Mnhh....

Leo Magu kapigwa sana bungeni

Yani kama enzi za Sita...wabunge wamefunguka.
 
Hata hivyo hapo awali si ilikuwa iwe zaidi ya 90B na zijengwe kwa takribani miaka sita.

Kama haitoshi kawaokoa wanafunzi asilimia kadhaa kuishi maisha hatarishi huko mtaani. Wanywa gongo/mataputapu waliwadhalilisha vijana wetu Huyu Sugu anamtoto binti wa miaka mingapi labda? Ili tuone kama anajua hatari ya kusoma ukiwa umepanga nyumba moja na wala mihadarati na gongo.
Issue sio kaokoa, angalia swali, serikali inamdanganya nani na kwa faida ya nani?? Halafu majengo ni below standards. Kwanini tusiseme pia pesa zimeibiwa??
 
Hata hivyo hapo awali si ilikuwa iwe zaidi ya 90B na zijengwe kwa takribani miaka sita. Kama haitoshi kawaokoa wanafunzi asilimia kadhaa kuishi maisha hatarishi huko mtaani. Wanywa gongo/mataputapu waliwadhalilisha vijana wetu Huyu Sugu anamtoto binti wa miaka mingapi labda? Ili tuone kama anajua hatari ya kusoma ukiwa umepanga nyumba moja na wala mihadarati na gongo.
Sasa kama umeokoa gharama kutoka sh. 90B hadi 54B, kuna tatizo gani kusema ukweli na watu wakusifie kwa kuokoa bilioni 36? Kulikuwa na haja gani ya kusema zimejengwa kwa 10B?
 
HABARI,
"Return Of Undertaker,
Mimi binafsi kwenye hili la hostel bado nabaki kumpongeza MH.RAIS hebu tukae na kujifikiria kama watu walitaka kupiga bilioni 100 na kujegwa kwa bilioni 54-60 huoni kama zimeokolewa zaidi ya billioni 40 sasa hivi nashuhudia zahanati zikijegwa kwa kasi sehemu nyingi nchini zaidi ya miaka yote kinamama na watoto walikuwa wanakufa kama serikali inaokoa maisha ya mama zetu na watoto tunataka nini mbona hatulisifii hilo mnyonge mnyongoni ila haki yake mpeni.Mimi sitetei ila msifie hata moja moja tuu zuri linalofanywa na MH.RAIS sio mabaya tu hapa mabaya ttu kila kukicha mabaya tuuuuuu wakati mwingine unaudhi sana ninaamini nyie mnalenu si bure hata kidogo kama kunabaya semeni kama ni la kweli tutalitetea ila mimi kwa hili la hostel hapana acheni dhambi kwahiyo angetoa hizo billioni 100 ndo mngempongeza au?

LUMUMBA
Swali " sasa kwanini wanadanganya zimejengwa kwa billioni.10 wakati uhalisia ni billion 54?
 
Hata hivyo hapo awali si ilikuwa iwe zaidi ya 90B na zijengwe kwa takribani miaka sita.

Kama haitoshi kawaokoa wanafunzi asilimia kadhaa kuishi maisha hatarishi huko mtaani. Wanywa gongo/mataputapu waliwadhalilisha vijana wetu Huyu Sugu anamtoto binti wa miaka mingapi labda? Ili tuone kama anajua hatari ya kusoma ukiwa umepanga nyumba moja na wala mihadarati na gongo.
Wabongo tufunzeni kuelewa hoja na kuijibu hoja. Hoja hapa sio hela zilizotumika kujengea. Ujenzi wa majengo ya wanafuzi ni jombo jema saana. Serekali inatakiwa ipewe pongezi zote. Hoja ya Sugu ni kwa nini walisema uwongo?
 
Ingekuwa nchi za maana Magufuli angeshafukuzwa siku nyingi Ikulu,aulize South Africa,Brazil na sasa spain

Wewe ndio hujui kitu SA hiyo ni succession plan yao endelea kudanganyika kuwa Mbeki na sasa Zumma eti kafukuzwa. Pale makaburu wako wakutosha lazima uishi nao kwa akili kubwa.
 
54B????? kumbe sio 10B..daaah hawa watu wamezidi kupika hizi data ..wataendelea kuumbuka hv hv..nasikitika kuwa ndugu zangu walioko vijijini bado wana imani na mtu huyu kwakuwa hawana uwezo wa kupata hz taarifa...ila kwakuwa kijana wao nipo hapa nitawafikishia ujumbe maana wao walimshangilia kwa vigelegele wakati akifuta sherehe za uhuru kwa kubana bajeti na sasa bajeti iliyobanwa ndio yatumika vibaya hv

huwa nawashangaa sana hawa wanaojigamba mbele ya umati kuwa ufisadi umezuiwa kwa asilimia kubwa...lakini ukweli ni kuwa ufisadi upo tena ni mkubwa sana...kikubwa ufisadi wa sasa umeongezeka kiteknolojia..hivi sasa keki ya taifa wanoyo ifisadi ni kikundi kidogo ndani ya chama ambacho kimejipa mamlaka makubwa sana..
tutegemee mpasuko mkubwa ndani ya chama kwakuwa keki ni ya wachache msimu huu na hao wachache wanaila kweli kweli
Hizi ngonjela zimekuwepo tangu enzi za JK na bado ccm wanashinda kama kawa...tatizo ni kwamba hata hao wakosoaji nao ni wachafu sana so ni bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemfahamu!
 
Issue sio kaokoa, angalia swali, serikali inamdanganya nani na kwa faida ya nani?? Halafu majengo ni below standards. Kwanini tusiseme pia pesa zimeibiwa??

Angalau umenielewa kidogo. Huyu Sugu na kamati yake walitumia nyaraka gani kujua kuwa ni 54 billion? Kama kufichwa kuko.
 
Back
Top Bottom