Sugu tbc now mdahalo umechakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu tbc now mdahalo umechakachuliwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Oct 23, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Namuona SUGU TBC lakini naona TBC wamchakachua mdahalo


  Wanakatakata SUGU akiwa anaongea
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  who is Sugu?
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  one of the founders of bongo flavour,na sasa anagombea ubunge kupitia chadema mbeyaaaaaaa
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka sugu

  Samahani preta
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu si kawekwa ndani kwa uchochezi...haaaa TBC very low for you....mtahangaika sana mwaka huu na mamizigo yenu ya taka...wagombea hawachaguliki
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  nuru mpya kwa wana mbeya!
   
 7. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mbona kaka naangalia iko poa tu na sugu anashusha mawe vizuri tu.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  asante sana kwa kunifahamisha....sikujua kabla
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu kama umesikiliza swali la mwasho la katiba SUGU alikuwa anaongea mara akakatika then wasikulizaji wakarudi wanapiga makofi

  hapakuwepo conection ya kuogea na wasikilizaji kupiga makofi

  kuna kitu SUGU kakiongea TBC WAKAKICAKACHUA
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Angalau wasanii nao wapate mwakilishi
   
Loading...