Sugu, Nassari & Magenge wafunika DarLive! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu, Nassari & Magenge wafunika DarLive!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kiganyi, Jun 4, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake.
  [​IMG] Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
  [​IMG]
  Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu.…
  [​IMG]Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake.
  [​IMG]Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
  [​IMG]
  Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu.
  [​IMG]
  Sugu na Mkoloni wakizidi kuwadatisha mashabiki.
  [​IMG]
  ....Wote mikono juu baada ya kupagawa na shoo ya Sugu.
  [​IMG]
  Profesa Jay akiwapa burudani mashabiki.
  [​IMG]
  ...Akiwasabahi mashabiki wake.
  [​IMG]
  Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi likifanya makamuzi stejini.
  [​IMG]
  ...Wanaume kazini.
  [​IMG]
  ...KR Muller akionyesha mbwembwe zake stejini.
  [​IMG]
  Mapacha kutoka kundi la Vinega wakiiteka steji ya Dar Live.
  [​IMG]
  Vinega wakiwa mzigoni.
  [​IMG]
  Suma G nae alikuwepo kuupamba usiku huo.
  [​IMG]
  Danny Msimamo akiwarusha wapenzi wa burudani.
  [​IMG]
  Bendi ya Chuchu Sound nayo ilifanya makamuzi katika tamasha hilo la Usiku wa Sugu.
  [​IMG]
  Rapa wa Chuchu Sound, Mao Santiago akionyesha umahiri wake wa kukata mauno.
  [​IMG]
  Nyomi iliyohudhuria shangwe hizo.
  [​IMG]
  Kundi la Naukala Ndima likifanya vitu vyake stejini.​
  [​IMG]
  Mmoja wa wasanii wa kundi la Naukala Ndima, akionyesha machejo ya kucheza akiwa katobolewa na panga kichwani.
  [​IMG]
  Mbunge wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan akiwasalimia mashabiki wa Dar Live.
  [​IMG]
  Baadhi ya mashabiki wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sugu.
  Msanii mahiri wa HIP HOP ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Mr II' a.k.a Sugu, jana alizikonga nyoyo za mashabiki wake waliofurika ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem kwa kufanya makamuzi ya hatari katika tamasha la Usiku wa Sugu. Sugu alisindikizwa na Juma Nature, Profesa Jay, Vinega, Mkoloni na wengineo wengi kwenye shoo hiyo iliyokuwa ya aina yake.
   
 2. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi Ruge nae alikuwepo? Si bifu lishaisha?
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  watu walifurika sana
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mbagala tena unategemea nini!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kote kunakojaaga ni mbagala?
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hawana cha bifu wala ni nini wale kaka
   
Loading...