Sugu moto chiniii!!!

Mbona husemi Vicky kamata, maji marefu, john komba, nkamia n.k pia wanajaza watu as ni wasanii as well.!!!!!! Halafu ndugu yangu mtanzania wa ukweli anamtaka kiongozi mwenye NJAA sio walioshiba as kuna ule usemi common unosema ALIYESHIBA HAMJUI MWENYE NJAA na UNAHOLD hata kwenye theory za uongozi!!!
 

Aisee badisha hiyo ID yako mara moja jiite ZUZU.
 
Nimegundua huyu jamaa anayejiita Sugu1 bado kalewa kodi zetu. Karne ya 21 bado unamuona mtanzania mjinga, kuwa hajui nini kibaya na nini kizuri? Duh, hapo ndo napopata shida na watu kama hawa! Its too simple to see how the leaders are of phase with the society.
 

Mkuu hapo kwenye red, ebu fafanua!
Binafsi sina shida na Mh. Sugu, shida iko ktk thread yako.
  • Sugu ni level nyingine maana yake ni nini?
  • Kwa muda huu mfupi tangu achaguliwe kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini amefanya nini cha maana kwa wapiga kura wake?
  • Kujaza watu ktk mkutano kwa tafsiri yako ni kipimo cha kukubarika wa watu?
 

MBEYA NI NCHI NA SUGU NI RAIS WAKE! Mpaka kitaeleweka tu!
 

Acha kuongea pumba weweee
 

wewe nafikiri unaumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…