Wana JF hivi mmeona kwenye taarifa ya habari itv jinsi mbunge wa mbeya mjini alivyojaza mtu kwenye mkutano na wapiga kura wake.?
Wabaya wa sugu mtachonga sana lakini Sugu ni level nyingine. Hata kama watu hawampendi ama wanaona hafai, but anapendwa sana na kuaminiwa sana na wapiga kura wake thats enough. Sugu moto chiniii..
umati ulikuwa mkubwa balaa na wananchi walimshangilia sana.
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
wasiomkubali ni clouds fm aka wana hisa wa david cameroon ndo maana wakameroon wamejazana kwenye ile radio station wao wanaita mawingu fm
Nimegundua una uvivu wa kuwaza ndiyo maana uingereza inatulazimisha tukupe haki yako.Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii