HARAKATI-1
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 114
- 36
Amka wewe gamba unaota sasa hivi wakati jua linawaka.Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
hakuna mbunge wa chadema ambaye ataenguliwa kwenye kura ya maoniTetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Wenyewe mbeya wanasema "Sugu ni Rais, Mbeya ni nchi"
Sidhani kama unawakilisha ya walio wengi,nadhani ni uroho wako tu.Tumeona mikutano yake,mtu huyu anonyesha kukubalika sana,Lakini ndiyo hivyo watu kama ninyi lazima muwepo ndiyo siasa za ushindani zinogeTetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote
Tetesi zilizopo ndani ya CHADEMA zinasema nilazima sugu aenguliwe kwenye kura za maoni kutokana na vijana kuona kwamba mambo waliyotegemea kufanywa na sugu kushindikana. madai ya msingi ni kwamba amekua mbali na vijana waliojitolea mda na mali zao kuhakikisha anashinda uchaguzi wa 2010 na kuendelea kumkumbatia mwenyekiti anayeejiita mzee wa upako hata pale inapodhihirika mzee huyo kufuja pesa za chama.Madai mengine ni kwamba amekua akipanga safu ya uongozi waitakayo akishirikiana na mwambigija kitu kilijojidhihirisha wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama na serikali za mitaa,vilevile wakati wa uchaguzi wa katibu BAVICHA sugu na MWAMBIGIJA walithubutu kutumia hata ukabila ili kuwaengua baadhi ya wagombea,vitend hivi vimetuudhi vijana na tutahakikisha ili kuleta usawa ndani ya chama SUGU atupishe maana hiki chama ni chetu sote