C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Feb 19, 2012 #1 sugu amesema kuwa ana mpango wa launch kinywaji chake akiongea kupitia kurasa zake za facebook sugu anasema .im quitting konyagi soon...coz im about to launch my own drink...!!!
sugu amesema kuwa ana mpango wa launch kinywaji chake akiongea kupitia kurasa zake za facebook sugu anasema .im quitting konyagi soon...coz im about to launch my own drink...!!!
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,678 68,658 Feb 19, 2012 #2 Safi sana sugu moto chini ntala lala lalaaaaaaaaa ni moto chini.
matumbo JF-Expert Member Jul 9, 2011 7,225 3,944 Feb 20, 2012 #3 Wazo zuri,ndo mambo yanayotakiwa kufanywa na vijana wa kileo ayo...ila ahakikishe alcohol inakuwa ya kutosha maana izi nyagi sku izi tumekuwa atulewi wengne.
Wazo zuri,ndo mambo yanayotakiwa kufanywa na vijana wa kileo ayo...ila ahakikishe alcohol inakuwa ya kutosha maana izi nyagi sku izi tumekuwa atulewi wengne.
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 49,660 68,627 Mar 14, 2014 #5 Ubunge umemtoa huyu! !!!!!!sasa hiv ni bata tu lol ubunge dilii walah