Sugu Awapigisha Kwata la Kufa Mtu CCM Mbeya

Sugu Awapigisha Kwata la Kufa Mtu CCM Mbeya

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Jamaa anawatoa jasho la kwenye meno CCM huko Mbeya. Sugu anasubiri kuapishwa tu alishapita bila kupingwa. Mpinzani wake ni kama hayupo vile. Ni sawa na Stand United na Barcelona
 

Attachments

  • 1443896818661.jpg
    1443896818661.jpg
    30.6 KB · Views: 2,244
  • 1443896834524.jpg
    1443896834524.jpg
    34.9 KB · Views: 2,158
  • 1443896848678.jpg
    1443896848678.jpg
    22.5 KB · Views: 2,136
  • 1443896859168.jpg
    1443896859168.jpg
    19 KB · Views: 971
namkubali sana huyu jamaaaa na mimi nataman ningekuwa mkazi wa mbeya
 
Hawa jamaa wanafanya kazi kubwa sana ya kumnadi mgombea wao wa urais (wa UKAWA) nimejionea mwenyewe. Kumbe ndio maana hawazunguki na Lowassa!
 
aliwambia bungeni kuwa yale magari 700 ya washawasha 500 yapelekwe mbeya anajua nn ya kuyafanya
 
Huyu Jana toka akiwa mwanamuziki namkubali sana ni mwanaharakati kweli big up suguuuuuuuuu people's sss power rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Ushasikia sugu then unategemea nn:glasses-nerdy:
 
Jamaa anawatoa jasho la kwenye meno CCM huko Mbeya. Sugu anasubiri kuapishwa tu alishapita bila kupingwa. Mpinzani wake ni kama hayupo vile. Ni sawa na Stand United na Barcelona
Mkuu hapo kwenye stand united tutake radhi wakazi wa Shinyanga!!
 
Ubaya CCM hawaamini kuwa wanaondoka, au wanajua wanaondoka sema wanakufa kisabyni
 
Back
Top Bottom