Sugu Awaka, Amwaga Cheche Bungeni!

JF commedy.....hajui kusoma alafu muda huo huo anasoma...kazi ipo.
We kilaza, sometimes shirikisha ubongo kwenye kujibu hoja ! Kuna kusoma kwa kutojua kusoma, hilo lijue kuanzia sasa!
 
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Ff, your problem is that, u never acknowledge what cdm's mps are doing and i know you will never. But the truth remains to be the truth.
 
Leo bungeni nimemshuhudia mh Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu akiongea kwa jaziba kali huku akimtupia makombora Mh Nchimbi kwamba utendaji wake ni mbovu, na kutolea mfano uteuzi wa wajumbe wa kutafuta vazi la taifa kuwa uteuzi huo umefuata ushikaji neno ambalo mwenyekiti Mh Simbachawene alimtaka kuliondoa lakini sugu aliendelea kukomaa nalo, mh Mchimbi katika kujibu hoja mbalimbali alijielekeza sana kwa kujibu makombora ya Sugu katika hali ilionishutua ni pale Nchimbi alipomjibu Sugu kuwa kwamwe uteuzi wa wajumbe wa vazi la taifa umezingatia umahiri na kuwaweka wazi baadhi ya wajumbe hao na mwisho aliishia kumshutumu sugu kwa kutosamehe ugomvi au uhasama ambao alikiri kuwa unaendelea na hivyo kwa hali ya kawaida si uungwana sana mwisho kabisa alimsihi wasameheane, .Naomba kujuzwa kwa anayefahamu ni bifu gani au ni lile la Maralia haikubariki nini?
 
hakuna cheche kuna pumba
 
Pia Nchimbi aliomba mitandao inayotumiwa na watanzania - Twitter, FB na Jamiiforums, watumiaji wawe wastaarabu katika michango yao na iwe inalenga maadili ya kitanzania.
 
Ananesa wapi? Katika wabunge wote, huyu ndiye kilaza number moja! Hana cha kuongelea? Kila siku lazima amtaje kusaga?
Nimependa kujembe alichopigwa na wazir, aache ujinga wa kuimbana! Wanaume wanapeana live, siyo kupigana majungu kwenye nyimbo

umetumwaa eeh.. Hiki ni kisiki cha mpingo.. Zidisha juhudi jombaaa,on,on..
 

tafuta albam ya Antivirus usikie upande wa Sugu na kesho ukipata wasaa msikilize Kibonde kwenye jahazi(au dau?) ili usikie upande wa Wafu FM maana ni yeye pekee walau ana ujasiri wa kujibu wengine wote ni wale sugu amewachana ktk vinega...watangazaji wanaliwa kama mboga.
 
Waziri, ruge na clouds ndio wanamchoza sugu, na sugu sio **** anapambana mpaka damu ya mwisho!
 
Ila sugu ni noma! Napenda sana style yake ya kusimamia anachokiamini...irrespective watu wengine au wabunge wenzake watamwonaje! Big up sugu!!!! Kila la kheri kaka yetu na mungu akutangulie!!!!
 
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.


Bahati nzuri hakua kwenye contest ya kuongea, hataivyo alieleweka ndo maana alijibiwa, usiwe kama Mh wa Mizengo
Pinda badala ya kuzungumza tatizo la madaktari watalishughulikiaje, yeye anaanza kumtafuta mchawi, eti anaanza kumchambua mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari. Grow up u people, things are changing fast around here.
 
hahahaha.., Nchimbi kaomba wasameheane?

Kusaga nae aliwahi mtuma Mbowe na Shigongo kwa Sugu ili wasahau yaliyopita

wanahofu na harakati zinazoenezwa na Sugu, wapi Ruge wapi J.Makamba
 
inaonyesha hawa watu wanatumia bungu kuwasilisha maugomvi yao- rearly unprofessional- they should just find another forum for that- ur in the parliament because of our votes- then represent what we want not attack on the people who were once ur friend- ur personal issues- should not be ours! this is ridiculous- and only happening in TANZANIA
 
Mbeya ni nchi Sugu ni rais,Nchimbi kaa mbali na Sugu,Mh Sugu ni mpigania haki na utu wa mwanadamu,subiri 2015 tuje tukuong'oe hapo Songea mjini mana mwaka 2010 ulimchakachua Advocate Mbogolo wa Chadema.
 

Mbona na yeye Sugu kuna mtu alikuwa anamchambua tena karibu kila anapopata muda wa kuchangia Wizara ya Michezo...
 

To make it funny, people with ur common sense are only found in TZ too, Nyani haoni kundule, ease up buddy.
 
Mbona na yeye Sugu kuna mtu alikuwa anamchambua tena karibu kila anapopata muda wa kuchangia Wizara ya Michezo...


Ndugu issue siyo kumchambua mtu, ni kujibu swala lililoulizwa na sio kutafuta sababu za pembeni badala ya ku-adress kile cha msingi.
 
Mh ile Ant Virus ni balaa. ila nilipita mbeya juzi juzi hapa aisee ndo inayopendwa kila kona. Ila leo Sgu amesema hiyo kampeni ya Vinega imeanza kuwasaidia wasanii waliokuwa wananyonywa na kuanza kupata malipo mazuri kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…