Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,421
- 133,801
Kijana usiyekuwa na huruma kwa vijana wenzako,huyu Mh(MB) Mwanaharakati Mtetezi wa wanyonge a.k.a Sugu anawatetea wanyonge wewe unaona ka vile anapiga kelele,kuna siku utakuja kumkubali kwa haya mazuri anayoyafanyaHuyo jamaa nilimsikiliza kma dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Huyo jamaa nilimsikiliza kma dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Huyo jamaa nilimsikiliza kma dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Sugu ni jembe
Huyo jamaa nilimsikiliza kma dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Wakati wa majumuisho, Nchimbi kaipangua hii hoja na kumopaka sana Sugu kuwa hawezi kuwateua watu makini eti tuu kwa sababu anajua fulani ana bifu na fulani. Pia akapaka hauwezekani ugomvi udumu zaidi ya miaka 10, ukishakuwa mbunge ni kiuongozi wa umma, hivyo sasa wewe ni kioo cha jamii, sahau yaliyopita songa mbele, haya ma bifu mpaka kuimbana na kutukanana matusi mpaka ya nguoni sio mambo!.Pia amesema Nchimbi kaweka " washkaji" zake kwenye kamati ya vazi la taifa,hawana utaalam wowote
Sina cha kuongeza mkuu! kudos!Dada yangu FF, kwani kwako Chadema wanajua kuongea?, wanaojua kuongea si ni CCM tuu?, Chadema wao si ni kupiga tuu kelele?.
Nchimbi katika majumuisho, amemkubali.
Kitu kimoja muhimu tukubaliane, sisi binadamu, sio tuu tunatofautiana uwezo wa kuelewa, bali pia tunatofautiana uwezo wa kiwango cha kusikia, wakati mwingine anasikia kikawaida kwa mwingine ni kelele kama ilivyo kulia na kucheka zote ni kelele!.