OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20

Hata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.
Mbeya nasikia hawauzi sura... Labda Mombasa mombasa na mikoa mingine ya pwani.sugu amekulia Mbeya enh?sishangai.......
Nadhani wewe si mpiga kura wa Mbeya, angalia mbunge wako anachofanya kwanza...Sugu ni another Flop katika TZN politics ..... the guy ni kama galasa la chadema.. sidhani kama watu wa mbeya watafanya makosa tena 2015 kumpa ubunge....
Sasa na wewe itabidi utoe album, wanasema dawa ya moto ni moto. Ila ya kwako iitwe MUTATED VIRUS...Hata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.
huo wimbo unaitwa "muziki huu", hakuna matusi humo ndani. Humo Ruge anaulizwa kuhusu studio na dhuluma nyingine.Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.

WHAT MORE I CAN SAY!
mbona Komba bado anaimba au ni wabunge wa upinzani tu ndo hawaruhusiwilakini mziki si ndio ulivyo? u sing abt whatever u want na wateja wako walewale watakusikiliza! mnataka aimbe siasa kwa vile ni mbunge? senator schwaznigger aliacha kuigiza movies alipoingia kwenye siasa? mbona wakina mlata bado wanaimba nyimbo za injili ilhali waliompigia kura ni waumini wa dini zote?

mbona Komba bado anaimba au ni wabunge wa upinzani tu ndo hawaruhusiwi
Katika vitu ambavyo sipendi ni wanaume ambao wana tabia za kujipendekeza kwa wanaume wenzao. Nina uhakika 100% huyu mbunge hata hajawahi kukusikia achilia mbali kukufahamu ss iweje awe na bifu na ww? Jamani haya mambo yanaumiza akili sana! au we ni Rambuza? Kuhusu suala la Pato lako halitusaidii kitu wala kama una kipato kikubwa hakuna haja ya kujilinganisha na mtu. Acha U..NGE dogo next time tutaku..... malizia mwenyewe!!!!Hata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.

Komba haimbi matusi kama bw*g* lenu Sugu. Yaani wewe unafanisha weledi wa Komba na huyo mla unga?
ajifunze kuwa na roho ngumu ya kupuuza baadhi ya mambo,kwa mfano sugu kuhangaika na huyu bwana mdogo mwita ni kujivunjia heshima,ashughulike na mambo ya muhimu mkuu,2015 jimbo litaondoka lile