Sugu alivyokinukisha mbeya

Musitujazie threads kwa uchuro wenu, kama huna vitu vya maana kuwa msomaji wa JF tu, siyo lazima kila mmoja apost
 
JF-Jamii Forum..............Sugu ni mwanajamii kadhaika aliyepost................si lazima kila mtu apost=si lazima kila mtu asome....
 
Vijana wote tungekuwa na misimamo kama ya sugu nchi hii ingefika mbali, thanx wana mbeya kwa kumpeleka kijana mjengoni.
 
Musitujazie threads kwa uchuro wenu, kama huna vitu vya maana kuwa msomaji wa JF tu, siyo lazima kila mmoja apost

Unajua nilikuwa sifahamu kama bwana Rugemalila aka Ruge anawaruhusu walinzi siku hizi kuchezea kompyuta za hapo clouds.. Ebu acha upuuzi rudi lindoni haraka sana..
 
haya mambo ya sugu mara vinega mara clouds yaninitia kichefuchefu tu hapa....
 
Back
Top Bottom