Sugu aiteka Kenya

Hesabu ni Rahisi Sana.
Na-Assume
Watanzania Wanaomsupport Lissu tuko= 5000000(5 million).

Kila Mmoja Atadeposit 2,000/= kila Mwezi karibia na Tarehe 15.

Total itakuwa 10,000,000,000(10 Billion).

Hii ni zaidi ya Mshahara,posho,pension na Marupurupu ya Mbunge Kwa Miaka 5.

Watanzania Tukiamua Tunaweza.

TUMCHANGIE TUNDU LISSU SASA.

TUNDU LISSU RAIS 2020.


"Mopao Mokonzi"
 
Tatizo lako akili yako imekutuma kua nami ni mtu wakubishana mambo ya siasa!! fuatilia comment zngu toka nimejiunga jf,sikumuuliza mleta mada kwa lengo la ubishani wa kisiasa.
Pole kwa yaliyokukuta mkuu , vita havina macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…