View attachment 1593855
Usiku wa deni haukawii
Sugu uliwatenda nini watu wa mbeya mbona wamekukimbia
Huyo utopolo hajafanya lolote la maana Mbeya zaidi ya kuiba hela na kujijengea Desderia Hotel. Mwaka huu ataisoma namba kudadeki.
Alijua kushibisha tumbo akawa anakula peke yake anasahau walimpa uongozi
Atajua hajui
Uvccm mnajua kujifarijiWanambeya wamechoka kupeleka bouncer wa kurap uhuni,mbaya zaidi na wale masela wamesema, safari hii wana mpeleka msomi mahiri mwenye uwezo mkubwa wa utawala na sifa zote za uongozi na uwakilishi.