Sugu abuni gari lenye jina lake!!!

tatizo hawezi pata support na jina la SUGU lililowasumbua kwenye ubunge mbeya si watahisi huyo jamaa mtu wa mbeya na aende kwa sugu orijino ampe support,magamba bwana walitaka sijui aandike CCM au KIKWETE ndo wampe support
 
ee bana ee hii gari ni kiboko, ina jina na sura kama ya mbunifu wake, shida ni moja tu, finishing, gari mpya lakini inaonekana imezeeka kabla ya kutumika. lol
 
Hongera kwa ubunifu ulioufanya! Kwa sababu ulishamaliza kubuni nafikiri kilichobakia ni mali ama chombo ulichobuni kuingiza sokoni uuze ili ubunifu wako ukufae zaidi.na ikiwa swala ni mtaji wa kuweka bidhaa za Kutosha ama kukidhi mahitaji ya soko ni kwa kiasi gani umefanya utafiti uliopelekea kujua mahitaji ya bidhaa yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom