Hallo,
Nataka kununua Smartphone brand ya Samsung. Je ni ipi kati ya hizi hapa ungenishauri kwa ubora kati ya
Galaxy Note 2 Vs Galaxy S4?
Ila brand ambayo nnayoizimia ni "GALAXY NOTE 3" lakini kutokana na Bei yake iko Juu ndio maana
nikaona ni-Opt hizi brand nyingine.
Bajet yangu ni Box/Kilo 9.
Naombeni Ushauri wenu.