Maasai Chotara
Member
- Mar 6, 2020
- 50
- 106
Halo wana JF kwa wale wapenda Mziki kama Mm.
Nina mpango wa Kununua Soundbar, ila nina tatizo la kujua ni ipi yenye kiwango kizuri cha Sound especially wakati wa kusikiliza Muziki na Movie.
Home theater nazipenda Ila ule wingi wa Nyaya, inakuwa kama vile uchafu. Pia ubaya wa Soundbar, haina option ya FM Radio.
Please, kama unatumia Mojawapo, kati ya Soundbar au Home theater, embu tupe experience ya kile unachokipata toka kwa product uliyonayo.
Thanks.
Sent using [Iphone XS Max]