Hujasema huyo mama ana umri gani. Unasema ana watoto wakubwa wenye umri gani na wangapi? Yawezekana umri wenu uko sawa ila yeye kawahi kuzaa tu. Usilete ubaguzi wa umri, rangi, kabila kwenye mapenzi. Ubaguzi ni sumu katika maisha angalia kilicho muhimu kwenu ninyi nyote. Kwani wewe ulipoanza naye hukuona kama ana umri mkubwa au ana watoto? Au watoto na umri vimeongezeka usiku?
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!