Sugar mummy anavyonipelekesha.

Sugar mummy anavyonipelekesha.

Status
Not open for further replies.

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
 
Mazee mie nimechoka na hii aibu naombeni mnishauri vile nimwache maana nkitaka kumwacha roho inauma nalia usiku kucha,plz usirushe jiwe rusha advise.
 
Mbona hukuomba ushauri wakati mnaanza na kama roho inakuuma tukusaidieje ili usilie .We acha tu sugar m ajifugie kambwa kake

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Na ukome..........kuna mwenzako hapahapa jamvini kiliponuka tu, alirushiwa laki 8 kwenye simu akaambiwa na afya si kitu tena!!
 
Dah ukitaka kumuacha unalia! kweli sugar mummy si mchezo,tafuta mwanamke saizi yako.
 
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
Endelea kulia tu kwani nini!!!!!!
 
Jidunge sindano ya ganzi rohoni halafu achana nae. Wengine mnatafuta laana tu.
 
Miaka 26 bado huwezi kufanya maamuzi ya maisha yako? Vya bure vinawaharibu akili
 
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!

kwan sh. ngapi kumwacha au hata kuacha kulia, wewe unataka sh. ngapi?
 
......sasa aibu ya nini wakati wewe ni baba halali wa kipaimara?
 
kaka Majimama ndo mpango mzima we VUMILIA tu, kwani kugombezwa/kupelekeshwa kitu gani? mi naliwa KABANG na jibaba mwenye ndoa yake na napigwa makofi kila akilewa na naona poa tu, la maana ananilea na kunipa hela ya matumizi sembuse wewe na JIMAMA?we vipiiiiii??
 
Watu wengine bwana! Mnapata bahati ya kulelewa then mnaleta pozi. Acha uoga kijana, nyonga beat mwanzo mwisho. Wengine tunazitafuta hizo bahati.
 
Hizi habari zenu za kutunga hapa JF hatuzitaki...
 
Achana na wamama wewe, umri mdogo kama wako umekosa wa rika lako au kumwaga sera umeshindwa..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom