Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba...
Kwahiyo story na picha havina uhusiano?!..Huyo mwanamke atakua na vinasaba na matumla & co.Acha mavunga huyu Dogo namjua wa hapa bongo kapata ajali ya pkpk...usichonge uwongo na kutaka misifa tupigwe
Duh!Acha mavunga huyu Dogo namjua wa hapa bongo kapata ajali ya pkpk...usichonge uwongo na kutaka misifa tupigwe
HahahahaKwahiyo story na picha havina uhusiano?!..Huyo mwanamke atakua na vinasaba na matumla & co.
Makoye geteTukio hili limetokea nchini Zambia baada ya Mwanamama ambaye Mfanyabiashara Mwenye umri wa miaka 54 anayejulikana kwa Jina la Maggie, alimshushia kichapo kizito mpenzi wake mwenye miaka 26 baada ya kumfumania akiwa anafanya mapenzi na mwanamke mwingine Kwenye Gari aliyomnunulia.
Maggie aliamua kuchukua sheria mikononi kumuadhibu mpenzi wake huyo kama mtoto mdogo baada ya kuumizwa kihisia na mpenzi wake.
View attachment 678022