Sugar mammy

Sugar mammy

Wewe inaonekana hata sugar daddy akifika bei, anang'oa tu.
 
Nataka mmama mnene Halafu awe na pesa tuwe wapenzi. 0655191544 awepo DSM

Kabisa mtoto wa kiume unabana pua ''NATAKA JIMAMA AWE NA PESA TUWE WAPENZI'' shauri yako utaolewa mjini hapa we penda vya rahisirahisi tu!
 
mlikuwa mnasema wanawake wanapenda hela.....haya mwenzenu huyu nae anataka mtu wa kumchuna......

Uyo ni ---- tu kama mafala wachache,,mwanaume huwez waza sugar mamy likitoe kimaisha
 
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia sijui tunaenda wapi jamani!!! huyu mtoto haogopi hata maradhi ya sasa
 
Fanya mpango kasajili laini mpya achana na hiyo no. uliyoweka hapa halafu fanya kazi kwa bidii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom