utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
- Thread starter
-
- #41
tuna viwanja mwasonga,kisarawe II na Gezaulole beach plots. .Kwa mfano, kiwanja cha bei ya chini kina shiling ngap? nami nalipa asilimia ngap kwanza na nalipa ngapi ya iliyobaki kila mwezi?
Asante..tuna viwanja mwasonga,kisarawe II na Gezaulole beach plots. .
- Gezaulole beach plots tunauza kwa 25000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 530sqm it means total yake ni 13250000
-Kisarawe II tunauza 20000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 631sqm it means total yake ni 12620000
-Mwasonga tunauza 8000/sqm na plot ya chini kabisa tuna 556sqm it means total yake ni 4448000
Malipo yake unaanza na asilimia 30% ya bei ya kiwanja haraf utaendelea kulipa taratibu kutokana na makubaliano yetu mkuu
hvo mwasonga na kisarawe II vyote eneo lipo barabara kuu ambayo kama unakujua vizur kigambon basi utakubaliana nami inatengenezwa Lami asaiv
KARIBU TUKUHUDUMIE
Wishing you a blessed Good Friday to our customersKupitia uzi huu sikutegemea kunikutanisha na watu muhimu kiasi hiki...Asanteni wateja wetu i hope mmefurahia huduma zetuView attachment 1084563
ingawa umeingilia uzi wa biashara yang lakin nimefurah kwa ulichokifanya mana kijana mwenzio anapopigana inakubid ufurahie mana hujui atakuinua wap. ...keep your spirit and focus on what your doing boyUnatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
sawa nitakungoja mkuuNtakutafuta soon mkuu ukanifanyie kazi yangu moja
NEW PROJECTView attachment 1164156
ni kilometer moja kutoka usawa wa bahari mkuu hapo ukijenga ghorofa moja tu unaiangalia bahari yote kama ilivyoMkuu hapa bei gani per sq meter? Umbali gani toka baharini?
asaiv tumebak na viwanja 29 tu mkuu ni project tulioipima wenyew na tunatoa hatimilikiMkuu hapa bei gani per sq meter? Umbali gani toka baharini?
Wewe ni Boya....!