utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
- Thread starter
-
- #21
Kingine siku nyingine usifanye hivo kwenye biashara za watu mana wote vijana inatakiwa tufanye biashara za uaminifu tufike mbali nikifanya utapeli leo na umri huu mkuu nitafika kwel isitoshe sisi tupo chini ya sheria za mipango miji ukitushitaki hatuchukui muda lazima tupotee fanya hivo kama tumekuzurumu acha hivo bwana wote tunatafuta maisha hapaWrite your reply... Acheni utapeli! mlikuja kigamboni mkatupga lak lak kila mwenye kiwanja had leo hamjafanya chochote, endeleeni tu kushrikiana na mtendaji na mwenyekiti kuibia wananchi ipo siku yenu.
4ji
Mkuu kwann lakin unafanya hivo nimekuambia jina langu naitwa Utukufu clement mwanjisi sijawah kufanya urasimishaji kigamboni hata siku moja nimefanya urasimishaji pugu kinyamwezi peke yake na nilimaliza kazi yao..kigamboni sisi tumepimia watu binafsi wawili wenye maeneo makubwa na ndo nayauza hapa asaivWrite your reply... ina mwezi ndio lakini maeno mnayopta kupima ndio nyie nyie nawajua tangu kabla, kama unaona naleta mambo ya uongo sawa, kwan hamuwez kulia watu hela kabla ya kufungua kampuni.? we vp mkuu nawajua nyie
Mkuu kwann lakin unafanya hivo nimekuambia jina langu naitwa Utukufu clement mwanjisi sijawah kufanya urasimishaji kigamboni hata siku moja nimefanya urasimishaji pugu kinyamwezi peke yake na nilimaliza kazi yao..kigamboni sisi tumepimia watu binafsi wawili wenye maeneo makubwa na ndo nayauza hapa asaiv
nashukuru kwa kunielewa mkuu pia nahitaj kama kuna kazi ya kufanya wote tufanye....karibu ofisin Tanki bovu NBC HOUSE ghorofa ya tatu
nashukuru kwa kunielewa mkuu pia nahitaj kama kuna kazi ya kufanya wote tufanye....karibu ofisin Tanki bovu NBC HOUSE ghorofa ya tatu
ahsante sana ila weka na bei kwa kila mradi mana tunakuwa na woga kwamba viwanja kama hivi vinakuwa aghali sanakaribuni sana wakuu viwanja bado vipo fika ofisin tanki buvu mbezi beach tukuhudumie
sawa mkuu nalifanyia kazi kesho asubuhahsante sana ila weka na bei kwa kila mradi mana tunakuwa na woga kwamba viwanja kama hivi vinakuwa aghali sana
ahsante sana mkuu kwa pamoja tunaweza tukijiongeza kwani mjini hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba tusawa mkuu nalifanyia kazi kesho asubuh
Kuna project kama mbili tunazifanyia kazi hapo dodoma mjin nadhan tukizimaliza tutazitangaza mkuuTatizo mmekomaa na dar peke yake
Point kubwa sana mkuuahsante sana mkuu kwa pamoja tunaweza tukijiongeza kwani mjini hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba tu
Vizuri... Bei za viwanja?SUCI COMPANY Leo jumamosi lakin bado tunaendelea kutoa huduma..
Karibuni sana viwanja vipo na huduma zingine pamoja na ushauri
sorry sikuwa online ndo mana nilichelewa kukujib nazan nitaandaa posta nzuri ya bei zote then nitaileta hapaVizuri... Bei za viwanja?
Tukae mkuu kuna uwezekano wa kukupatia kiwanja mana kigamboni tuna viwanja vya kutosha,,,hata sisi tumelenga watu ambao hata wasipokuwa na uwezo wa kulipa yote lakin wana uhakika kila mwezi kutoa kidogokidogo tunawapatia kiwanja kwa makubaliano maalam hata ukitaka kwa mwanasheria wako au wetu sawa tu ili mradi tufanye biashara kwa uaminifu mkubwaNa sisi ambao mishahara yetu midogo tunaweza kulipa kidogo kidogo? mi nahitaji kiwanja kigamboni lakini sina uwezo wa kulipa hela yote kwa pamoja
Kwa mfano, kiwanja cha bei ya chini kina shiling ngap? nami nalipa asilimia ngap kwanza na nalipa ngapi ya iliyobaki kila mwezi?Tukae mkuu kuna uwezekano wa kukupatia kiwanja mana kigamboni tuna viwanja vya kutosha,,,hata sisi tumelenga watu ambao hata wasipokuwa na uwezo wa kulipa yote lakin wana uhakika kila mwezi kutoa kidogokidogo tunawapatia kiwanja kwa makubaliano maalam hata ukitaka kwa mwanasheria wako au wetu sawa tu ili mradi tufanye biashara kwa uaminifu mkubwa