Successful Unlocked Huawei Y3II bootloader but can't root

Successful Unlocked Huawei Y3II bootloader but can't root

Ni hivii ndugu kila simu ina root method yake ambayk rooting app inatumia.. Possibly hiyo simu yako bado haijaingizwa kwenye system/root method yake bado haijapatikana, so kuwa mvumilivu mpaka pale itakapoingizwa na yenyewe..
Kwa mfano mimi natumia miracle box ila kila muda waantoa update na kuadd cpu/simu mpya ambazo zaman nilikua siwez kuzirepair.. Kuwa mpole kwa sasa mpaka simu yako itakapoingizwa nayo
 
Angalia Vizuri hiyo aina ya simu uliyo iweka kwenye Thread yako km ni Huawei Y311 ama Huawei Y330 Nadhani umechanganya kuna huawei y511

Siyo Huawei Y311ulizoandika mbele ya 3 ni namba yenyewe hizo ni herufi ni Huawei Y3II yaani Huawei Y3ii au Huawei Y3 2 version ya upgraded ya Huawei Y360 iliyotoka mwaka Jana hii ni ya mwaka huu hizi sim bado mpya ina 4G ram 1GB na ROM 8GB android version 5.1
 
Wewe ndo uangalie simu yako unapata rom gan online... Watakapo kwambia aina ya rom basi utaambiwa na suggested tools za kuroot hyo simu... Kwanza Google rom za hyo simu.
Poa
 
Siyo Huawei Y311ulizoandika mbele ya 3 ni namba yenyewe hizo ni herufi ni Huawei Y3II yaani Huawei Y3ii au Huawei Y3 2 version ya upgraded ya Huawei Y360 iliyotoka mwaka Jana hii ni ya mwaka huu hizi sim bado mpya ina 4G ram 1GB na ROM 8GB android version 5.1
Huawei Y360 ina MTK CPU hiyo Y3II sina uhakika KM NI MTK AMA Qualcom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom