Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Tatizo lilikuwa nini mpaka ukamua ku unlock bootloader?Nimefanikiwa kuUnlock Huawei Y3II 4G Bootloader kutoka tigo kupitia web ya Huawei lakini kuRoot sim bado inshu nimejaribu karibia Apps zote still simu inajiRestart kila nikijaribu kuiroot au inaonesha failed to root.
Huwezi kuRoot sim bila kuUnlock BootloaderTatizo lilikuwa nini mpaka ukamua ku unlock bootloader?
Nani kasema huwez kuroot simu bila ku unlock bootloader?Huwezi kuRoot sim bila kuUnlock Bootloader
Sijakataa nimempa maana halisi kwani maana ya Bootloader kuwa Locked ni nini?Nani kasema huwez kuroot simu bila ku unlock bootloader?
Umetumia kingroot ikagoma?Sijakataa nimempa maana halisi kwani maana ya Bootloader kuwa Locked ni nini?
Nipe njia ya kuRoot hiyo sim sio tuanze mjadala mwingine
Yes imegoma nimetumia hiyo king, kingo iroot, root geniusUmetumia kingroot ikagoma?
Imegoma au version ipi ni nzuri?Jaribu towelroot
hata mimi namshangaaNani kasema huwez kuroot simu bila ku unlock bootloader?
Android 5.1je ina version gani? android?
Oya mie sio mgeni kucheza na Smartphones nataka nije niFlash Roms.hata mimi namshangaa
HiiLatest tumia....... Kingroot ulitumia version ipi?
http://www.apkmirror.com/wp-content...f/com.kingroot.kinguser-4.5.0-120-minAPI8.apkHii
Ya Jana tu ndio nimetumia
NewKingrootV4.9.6_C151_B309_en_release_2016_08_18_105203.apk
Imegoma hiyo version ya kwanza imesema failed ya pili sim imejiRestart,http://www.apkmirror.com/wp-content...f/com.kingroot.kinguser-4.5.0-120-minAPI8.apk
Jaribu hii... Huwa iko vizur.... Then unataka kuweka rom gan?
Wewe ndo uangalie simu yako unapata rom gan online... Watakapo kwambia aina ya rom basi utaambiwa na suggested tools za kuroot hyo simu... Kwanza Google rom za hyo simu.Imegoma hiyo version ya kwanza imesema failed ya pili sim imejiRestart,
ROM hapo itabidi upendekeze ipi itakuwa super.
Angalia Vizuri hiyo aina ya simu uliyo iweka kwenye Thread yako km ni Huawei Y311 ama Huawei Y330 Nadhani umechanganya kuna huawei y511Nimefanikiwa kuUnlock Huawei Y3II 4G Bootloader kutoka tigo kupitia web ya Huawei lakini kuRoot sim bado inshu nimejaribu karibia Apps zote still simu inajiRestart kila nikijaribu kuiroot au inaonesha failed to root.