INAUZWA Subwoofer ya Gari. Steelmate. SW826

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,749
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa.
inakuja pamoja na waya wake wa kufungia

Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi kupata mziki mzuri.

Bei ni sh 200,000/=
Tuwasiliane piga/whatsapp 0713683422.
 

Attachments

  • IMG_20220726_145804.jpg
    1.2 MB · Views: 37
  • IMG_20220726_145925.jpg
    841.2 KB · Views: 40
  • IMG_20220726_145857.jpg
    719.1 KB · Views: 40
mkuu nzima kabisa. ni kuwa gari ina mziki mkubwa sana na mimi napenda mziki wa kawaida.
ilikuja na gari. na pia ukiletewa utaweza kuitest.
 
Mpya kabisa huuzwa kiasi gani?
 
380,000 kwenda juu
 

Attachments

  • Screenshot_20220726-084102.png
    182.1 KB · Views: 45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…