Subwoofer v/s dvd home theater

Subwoofer v/s dvd home theater

Nilikua napenda kufahamu wadau kati ya subwoofer na dvd home theater ipi ni bora zaidi ya nyingine na kwa ubora gani?

subwoofer nyingi ukipandisha sauti juu yanasukuma upepo yan yanapoteza ladha ya muziki.
 
Nilikua napenda kufahamu wadau kati ya subwoofer na dvd home theater ipi ni bora zaidi ya nyingine na kwa ubora gani?

Mkuu heshima mbele.

Mimi ni mtumiaji mzuri wa home theatre systems na subwoofer ni moja ya parts zinazounda homethatre system ikiwa na sauti kuu ya base.

Nimeishatumia Sony, Panasonic, Samsung na zingine lakini naona inatagemea ni watts kiasi gani (uwezo wa kutoa mdundo na aina ya equlizer iliyonayo hiyo HTS.

Lakini kwa sasa Samsung wametoa aina mpya ya Home Theatre au Cinema System ambayo inaitwa Samsung HT-E5530 1000W Smart Home Cinema System 5.1 Channell Tall Speakers ambayo naona itafaa kuleta burudani hapo sebuleni kwako.

Pia umuhimu wa kifaa hiki ni kwamba kimeundwa na WIFI ambayo inasaidia kuiunganisha kwenye Network ya internet na kufanya rahisi kusikiliza miziki kupitia mitandao mbalimbali ya miziki.

Jaribu ku-google kifaa hiki na ukiangalie.

Pamoja na yote unapokuja kwenye hometheatre Sony ni bora kuliko Samsung,kwa maoni yangu pamoja na kuwa Samsung inaweza kuwa na vikoombwezo vingi usikivu wa muziki mzuri upo kwenye hometheatre za Sony,na kwa 1000 Watts kwa matumizi ya nyumbani itakuwa ni balaa,kwa Sony hometheatres hata ikiwa una hometheatre ya 500 watts inatosha sana,kwani machine zake hutoa muziki mzito na unaosikika vizuri kuliko HT za Samsung,hapo nyuma nimetumia sana HT za Samsung lakini ilibidi nianze kununua chapa za Sony kutokana na quality yake kuipita kwa mbali chapa ya Samsung.Ukitaka mziki kutoka kwenye HT uliyotulia nunua HT ya Sony,hutajutia uamuzi wako
 
Ht ya sony bei zake zina range vip mfano 300 watt ni shi ngapi
 
Pale Game supermarket huwa kuna kuwa na punguzo kuanzia siku ya Alhamisi hadi jumapili hapo mara nyingi zinakuwa kati ya TZS 300,000-400,000. Za Samsung hadi TZS 250,000 jaribu kudownload kijarida chao cha bei za punguzo kinatoka siku ya Alhamisi Game - Dar Es Salaam - MHub Mobi halafu unclick kwenye Tanzania na juu utaona kimshale cha kudowload hicho kijarida pia unaweza kukisoma moa kwa moja bila ya kukishusha
 
Pamoja na yote unapokuja kwenye hometheatre Sony ni bora kuliko Samsung,kwa maoni yangu pamoja na kuwa Samsung inaweza kuwa na vikoombwezo vingi usikivu wa muziki mzuri upo kwenye hometheatre za Sony,na kwa 1000 Watts kwa matumizi ya nyumbani itakuwa ni balaa,kwa Sony hometheatres hata ikiwa una hometheatre ya 500 watts inatosha sana,kwani machine zake hutoa muziki mzito na unaosikika vizuri kuliko HT za Samsung,hapo nyuma nimetumia sana HT za Samsung lakini ilibidi nianze kununua chapa za Sony kutokana na quality yake kuipita kwa mbali chapa ya Samsung.Ukitaka mziki kutoka kwenye HT uliyotulia nunua HT ya Sony,hutajutia uamuzi wako

Yap home theater ya Sony ndo mpango. Napendaga sana mbwembwe zake za three d sound asee acha bana. Jikakamue ununue hii ya 700k. Imetulia kwakweli. Inapumbaza hasa .
 
Pamoja na yote unapokuja kwenye hometheatre Sony ni bora kuliko Samsung,kwa maoni yangu pamoja na kuwa Samsung inaweza kuwa na vikoombwezo vingi usikivu wa muziki mzuri upo kwenye hometheatre za Sony,na kwa 1000 Watts kwa matumizi ya nyumbani itakuwa ni balaa,kwa Sony hometheatres hata ikiwa una hometheatre ya 500 watts inatosha sana,kwani machine zake hutoa muziki mzito na unaosikika vizuri kuliko HT za Samsung,hapo nyuma nimetumia sana HT za Samsung lakini ilibidi nianze kununua chapa za Sony kutokana na quality yake kuipita kwa mbali chapa ya Samsung.Ukitaka mziki kutoka kwenye HT uliyotulia nunua HT ya Sony,hutajutia uamuzi wako https://www.youtube.com/watch?v=AFG5zfuvRgk
 
wadau vipi kwa masubwoofer ya kawaida ya kichina lipi bora
 
Back
Top Bottom