subwoofer inauzwa

hiyo inapiga babaake sio kitoto
 
Safi sana, hii nimeipenda. Sasa mtu kama badala ya kumwita na kumboreshea mazingira ya shughuli zake akina kova wanamkamata na kusema wanahisi anahusika na kutengeneza silaha bandia.
 
Safi sana, hii nimeipenda. Sasa mtu kama badala ya kumwita na kumboreshea mazingira ya shughuli zake akina kova wanamkamata na kusema wanahisi anahusika na kutengeneza silaha bandia.

Hahahaha mkuu nikisikia Intelijensia ya kova huwa nacheka sana
 
Hahaaaaa........ bei ni sh. ngapi Mkuu??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…