duh we jidanganye danganye danganye tuu
ahahahahahhahahha akili zako bana!Hivi mtani ni kama ndugu wa damu, yaani namaanisha hakuna mwiko.
Halafu ujue nimemkumbuka Babu Ayoub na wimbo wake "Nguruwe pitaa sina mkuki miye, wewe halali
kwangu sijakuzaa miye"
:yo: :yo: :yo: :banplease: :banplease: :banplease: :banplease:
ahahahahahhahahha akili zako bana!
sasa acha kuuma uma vidole baaaanaa!
nikuanzishie sredi!???
Nimbebe nani??? Atajibeba mwenyewe?
Kubeba mwenza sio lazima apate physical paralysis. Anaweza kuugua muda mrefu ama kukosa kazi/kipato. Kuna ndoa zinavunjika just because mwanaume ameyumba kiuchumi. Ndoa ina mitihani mingi. Ni muhimu kusimama kwa ajili ya mwenzio.