sio kila website iwe na database,ila capacity inatolewa na hosting provider.Mfano hosting yako inatoa 5 mySQL database ikiwa na total 1GB, ina maana utaweza kutengeneza database 5 ambazo data zake zote zisizidi 1GB.Kwa hiyo kama tovuti zako zinahitaji database hiyo mfano mazao.com itakuwa na database na nyanya.mazao.com itakuwa na database hii mazao.com/nyanya inaweza kutumia database ya mazao.com.Ukubwa wa database hautegemei kuwa ni domain au subdomain unategemea umepewa kiasi gani kutoka kwa hosting provider