Subaru..

Subaru..

dhk1

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
1,061
Reaction score
809
Wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na mikoa mingine napenda kuwakaribisha SUBARU AUTOPARTS duka linapatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel.
Tunadeal na subaru service and suspension parts.
kwa maswali zaidi comment
 
Mimi nataka nunua subaru je kati ya impreza, forester ipi nzuri kwenye mbio, mafuta, spear?
 
Mimi nataka nunua subaru je kati ya impreza, forester ipi nzuri kwenye mbio, mafuta, spear?

imprezza consumption ya mafuta ni ndogo compared to forester.Forester mbio iko sawa na consumption c mbaya sana spare za forester ziko nyingi tu. So ukichukua forester c vby
 
tuwekee na namba za simu, vipi mafundi unao pia? uko na online store au mpaka tuje na sample?
 
Tuwekee namba ya simu nahitaji kufika dukani kwako jumamosi
 
Asante kwa jibu dhk1
 
Last edited by a moderator:
Sorry guys I ws away for sumtyms I do both online and u can come direct to da shop.
 
Anayehitaji Forester Subaru ipo inauzwa hapa Arusha imetengenezwa mwaka 1999,imetembea km 151,000,ipo kwenye hali nzuri sana,imelipiwa kodi zote.Bei ni Milioni nane na nusu,maongezi yapo kwa aliyeserious,piga 0787140432

Wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na mikoa mingine napenda kuwakaribisha SUBARU AUTOPARTS duka linapatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel.
Tunadeal na subaru service and suspension parts.
kwa maswali zaidi comment
 
Safi sana kama unafata mzigo Japan nakushauri upakie na vya extrail Nissan. Twapata shida ya vifaa na wateja wengi sana
 
Kwa saiv Nina spare za Nissan bt ni za service parts
 
Foglamps nimemaliza inategemea ya Subaru ipi
 
Back
Top Bottom