Subaru legacy B4 mwenye uzoefu nayo

lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,914
3,354
Wakuu mweye uzoefu na subaru legacy b4, kuanzia maintanance fuel consumption na changamoto zingine tujuzane uzoefu wenu...
Ntashukuru
 
Gari nzuri sana.. hazina shida ila speares ziko juu kidogo lakn iko powa ni ngumu
 
Back
Top Bottom