Subaru Impreza wrx, Sti vs Mitsubishi Evo

Baba Jazey

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
500
555
wakuu nmekuwa nkisikia kwa wapenzi wa magari kwamba kati ya subaru impreza wrx sti na mitsubishi evo ni gari za mabio, wapenzi wa rally tumalize ubishi kati ya subaru impreza wrx sti na mitsubishi evolution ipi ni mbabe wa rally?
 
270dc310c861f5b39cde40f38ad358b3.jpg
NISSAN GTR Bongo iko moja
 
Funguka vizuri, unataka kwa ajili ya mashindano au unataka kwa ajili ya mbio Tz? Kukusaidia tu, gari hizo zoote zina mbio ila Subaru tofauti yake ni utulivu barabarani. Watengenezaji wake wamekuwa na maono zaidi kwa gari zao. Zikimbie lakini zitulie barabarani. Unashangaa uliweka mguu juu juu tu, ghafla uko 140 halafu ka umefunga vioo wala hujui/hujielewi. Kona kali unaikunja ukiwa 140 bila hata mtikisiko wowote. Ukiendesha Subaru haswa kwenye long distance, weka mafungu ya 30thou mengi tu kwa sababu ya tochi zao za mwendo kasi.
 
hapana tunataka kujua mani jana nlisikia watu wakibishana kati ya hizi gari ipi ni moto wa kuotea mbali, ila umeeleza vizuri sana mkuu
 
Haha Magar kama hayo ndo yanatakiwa yatembeee aiseee na kipande cha Igunga to Singida na Singida to Dodoma achaaa
Mkuu we acha tu, ile kitu inatembea si mchezo, kuna kipande kutoka maeneo ya Iramba kama sikosei to Singida kama km 80 hivi nilikuta kina vumbi basi nikalegeza bedeli kidogo boss akasema acha kukuna nazi, nyoosha goti we msengeremanikajisemea kimoyomoyo kwamba kumbe hunijui mie mtoto wa kihuni, basi nikaipa mamaaaaaaaa, tunafika Chalinze saa 4 asbh anasema wewe kiboko....
 
Back
Top Bottom