Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,116
Samaki wanauzwaje huko mkuuSiku ukija Ifakara, unijulishe ili nikuletee samaki mkuu! Mimi niko huku Mofu. Nakula tu wali kwa samaki wa Mto Kilombero kama sina akili nzuri vile.