Kila MTU duniani anajua Hilo kuwa Toyota ndiyo gari zinazoaminika hakuna ubishi kwenye hili... wamiliki wa brand tofauti na Toyota tumetokea hukohuko kwenye Toyota.
Haiwezezekani wote tuendeshe Toyota Tu eti kwasababu ni imara
Watu wengi hawajui kwanini used car fulani inaweza kuizidi used car fulani na isiwe kigezo kuwa hio gari ni bora zaidi. Mfano 2005 IST FOB inaweza kuwa juu kuliko 2005 Crown lakini haina maana IST ni gari ya maana kuliko Crown.