Mkuu...rejea tena chanzo cha taarifa hii...2. Maximize ya mafuta, MAZDA
CX5 nyingi ni Diesel na
zinakwenda mpaka 18KM/L
wakati FORESTER ni Petrol na
zinakwenda 14KM/L. Kuhusu
utofauti wa injini ya Petrol na
Diesel unaweza kurejea somo
hilo lipo humu
Kama Una kitu cha kuongezea unaweza kushare hapa ili na Sisi tupate mwangaMkuu...rejea tena chanzo cha taarifa hii...
Yeah Mazda CX-5 na CX-90 Zimesanifiwa Kwa mifumo wanaita kodo design, simplicity at the best101 East juzi nilitaka kupost mada inayohusu hii gari Mazda CX-5 hasa baada ya jamaa yangu hapa kariakoo kununua hii gari...
Hii gari Kwa upande wa interior design iko juu zaidi ya harrier, Subaru forester, vanguard na nissan xtrail. Kama kwenye ishu ya design hii Mazda CX-5 walituliza vichwa mno hata design ya nje pia imekaa vizuri Sana kushinda hizo gari nimetaja pale juu.View attachment 2789230
Mkuu hili la matumizi ya mafuta...Kama Una kitu cha kuongezea unaweza kushare hapa ili na Sisi tupate mwanga
Hii ndio habari ya mjini Kwa wale wapenda magari mazuri
Hizi ni gari shindani kwa sababu zote zipo kundi moja la COMPACT SUV.
Zinafanana sifa katika utendaji kama vile:
1. Ukubwa wa umbo
2. Nafasi kubwa ndani
3. Ground clearance nzuri
4. Nguvu ya kutosha kustahimili
changamoto za barabara
ngumu
Baadhi ya Tofauti ambazo zinaweza kukusaidia kuchagua kati ya SUBARU FORESTER na MAZDA CX5 ni kama vile:
1. Muonekano, macho
yanatofautiana kila mtu ana
Upendeleo binafsi kati ya
Muonekano wa FORESTER na
MAZDA CX5
2. Matumizi ya mafuta, MAZDA
CX5 nyingi ni Diesel na
zinakwenda mpaka 18KM/L
wakati FORESTER ni Petrol na
zinakwenda 14KM/L. Kuhusu
utofauti wa injini ya Petrol na
Diesel unaweza kurejea somo
hilo lipo humu
3. Upatikanaji wa vifaa na
mafundi, Japo gari zote hazipo
kwa wingi sana, lakini subaru
ipo kwa wingi na hata vifaa ni
vingi na mafundi wapo wengi
pia kulinganisha na MAZDA
CX5
4. MAZDA CX5 zilizo nyingi ni
Non-Turbo lakini zinakuwa na
nguvu kubwa kuliko
FORESTER NON-TURBO (XS)
FORESTER XT inazalisha
nguvu kubwa zaidi kuliko
MAZDA NON-TURBO. Lakini
MAZDA CX5 TURBO inazalisha
nguvu kubwa kuizidi kidogo
FORESTER TURBO (XT)
5. Bajeti, MAZDA CX5 bajeti yake
ni kuanzia TSH 27M mpaka
TSH 30M wakati FORESTER
NEW MODEL zinaanzia TSH
25M mpaka TSH 28M lakini
pia FORESTER OLD MODEL
bajeti ni chini zaidi.
Bila shaka maelezo haya yanajitosheleza kukuwezesha kufanya Uchaguzi sahihi.
[emoji6][emoji1666][emoji1666]
View attachment 2789002View attachment 2789003
Mazda CX-5 ni diesel engine kuhusu fuel consumption iko vizuri Sana tofauti na Subaru forester, Mazda CX-5 inatembea km15-18 Kwa ltr hii ni sahihi kabisaaMkuu hili la matumizi ya mafuta...
Huwa inasemwa na nakubali, kuwa matumizi ya mafuta kwenye gari inategemea vitu vingi...
Ila Kwa navyofaham...Subaru Forester (turbo au non turbo), ikijitahidi Sana sana itaenda 08km/ltr wakati Mazda CX 5 ikijitahidi Sana itaenda 10km/ltr.
Huu ni uzoefu wangu mdogo...naweza kurekebishwa
Wakenya Wanashauri Kuanzia Mazda CX5 2017 Ndio Best Choice Sababu Mifumo Mingi Imekuwa Upgraded Ukilinganisha Na Mazda CX5 Chini Ya 2017.
Wakenya Wanashauri Kuanzia Mazda CX5 2017 Ndio Best Choice Sababu Mifumo Mingi Imekuwa Upgraded Ukilinganisha Na Mazda CX5 Chini Ya 2017.
Mkuu, iyo CX5 ya 2017 ya Diesel ina Ushuru tu wa Mil 19 hivi.Wakenya Wanashauri Kuanzia Mazda CX5 2017 Ndio Best Choice Sababu Mifumo Mingi Imekuwa Upgraded Ukilinganisha Na Mazda CX5 Chini Ya 2017.
Maana Mazda CX5 Chini Ya Mwaka 2017 Zililaumiwa Sana Kwenye Mifumo Wa DPF Huo Ni Moja Ya Matatizo Yaliyopita.
Mazda CX5 Ni Gari Zilizonunuliwa Kwa Mwingi Sana Kenya Hivyo Expert Wengi Wana Recommend Hivyo If You Want To Drive Mazda Basi Go Na Model Kuanzia 2017.
Wakenya Wanashauri Kuanzia Mazda CX5 2017 Ndio Best Choice Sababu Mifumo Mingi Imekuwa Upgraded Ukilinganisha Na Mazda CX5 Chini Ya 2017.
Maana Mazda CX5 Chini Ya Mwaka 2017 Zililaumiwa Sana Kwenye Mifumo Wa DPF Huo Ni Moja Ya Matatizo Yaliyopita.
Mazda CX5 Ni Gari Zilizonunuliwa Kwa Mwingi Sana Kenya Hivyo Expert Wengi Wana Recommend Hivyo If You Want To Drive Mazda Basi Go Na Model Kuanzia 2017.
Nina fundi wangu mmoja ninamkubali ila anasema engine za Mazda zina changamoto sana, toka zimeanza kuingia kwa wingi hizi Mazda anasema zimeletwa kwake zaidi ya nane kwa matatizo engine tena zote namba E'! Ni kweli au hao watumiaji hawana uelewa nazo.?CX 5 nyingi zinazokuja bongo ni Diesel ila tofauti na ulichosema hapa, nyingi ni Turbo
Noted!Being ndio tatizo, hizi za 2017 zina bei iubwa kidogo. Sa chini ya hapo zina matatizo ya DPFkama zilivyo gari nyingi za Diesel za miaka ya karibuni, hasa kwa mazingira yetu ya bongo ambako diesel ni low quality, inaccurate shida nyingine ya ndogo ndogo ila ukizitibu gari inadumu. Inataka service kwa wakati na kutumia oil sahihi
Hiyo Exterior Design Unyama Sana Huko Interior Si Ndio Watakuwa Wameua.Mkuu, iyo CX5 ya 2017 ya Diesel ina Ushuru tu wa Mil 19 hivi.
Nimeonana nazo kadhaa mjini aisee kali sana.
Nina fundi wangu mmoja ninamkubali ila anasema engine za Mazda zina changamoto sana, toka zimeanza kuingia kwa wingi hizi Mazda anasema zimeletwa kwake zaidi ya nane kwa matatizo engine tena zote namba E'! Ni kweli au hao watumiaji hawana uelewa nazo.?
Nje iyo design wao wanaiita Kodo design or Soul of Motion. Ilianza kwenye izo CX5 sahivi imesambaa kwenye lineup nzima ya Mazda.Hiyo Exterior Design Unyama Sana Huko Interior Si Ndio Watakuwa Wameua.