Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Kiruu laaziz ugomvi wako kama wanguKIRUUUU.[emoji134]
Kwan ugomvi
wimbo huu kwanza uliimbwa na almarhum Bakar AbeidKwa Taarifa yako huu wimbo uliimbwa kwa mara ya kwanza na SITTI BINT SAAD ukaja kuimbwa tena na ISSA MATONA ukaimbwa tena na BI KIDUDE pia ukaja kuimbwa tena na NASMA HAMISI KIDOGO hivi karibuni umekuja kuimbwa na ASLAY na NANDY
Kwa Taarifa yako huu wimbo uliimbwa kwa mara ya kwanza na SITTI BINT SAAD ukaja kuimbwa tena na ISSA MATONA ukaimbwa tena na BI KIDUDE pia ukaja kuimbwa tena na NASMA HAMISI KIDOGO hivi karibuni umekuja kuimbwa na ASLAY na NANDY
Hii ni ushahidi jinsi mapenzi yalivyo mahenga yaani ni ya enzi na enzi...... na tangu enzi hizo wimbo huu unatungwa mara ya kwanza, wanawake wenye maumbo ya kuvutia walikuwepo, wanaume wenye vibamia walikuwepo, wakware na mabazazi walikuwepo manungayembe na viruka njia pia walikuwepo.
Hakuna jipya chini ya jua, Kasie sio wa kwanza kuwa mtu wa mahaba sana na hatokuwa wa mwisho.
Kasie Matata.
Ah ah ah ah Mambo Ni MotoNaomba iwe dedication kwa mwanaume ninayetaman kumtunuku kitumbua changu ili atulie aache kutanga tanga Gudumeee
Subiri mrejeshoAh ah ah ah Mambo Ni Moto
Lin...?Subiri mrejesho
Siku yeyote majaliwaLin...?
Remember GuDume Si BongeSiku yeyote majaliwa
Mm na wewe nan ameshamuona gudume ?Remember GuDume Si Bonge
GuDume Navutaga Nae Bangi Katika Viwanja Vya Mpira JionMm na wewe nan ameshamuona gudume ?
Mimi sio muhenga mkuu nimezaliwa mwaka 1997Very good Mhenga mwenzangu!!!!
[emoji2][emoji2][emoji2]GuDume Navutaga Nae Bangi Katika Viwanja Vya Mpira Jion