Suala linalonipa ukakasi, hii Mimba alidhamiria kuitoa au ni mpango wa Mungu?

Mimba ya umri gani??
Ulimkuta kwenye status gani??anableed or hapana??
Sijawahi skia flagyl zinatoa mimba nachojua zinazuia mimba ngj wakuu waje watujuze zaidi
Mwezi Na Siku Kadhaa, Yeah Kabla Kushika Ujauzito alikua anapata Siku Zake Kama Kawaida
 
Mkuu kwanza pole kwa yote lakin kabla hujajiuliza mengi nadhan ni bora uanze kufanya uchunguzi ujue kunani...wahenga walisema ni bora kulia leo badala ya kesho
 
Mwezi Na Siku Kadhaa, Yeah Kabla Kushika Ujauzito alikua anapata Siku Zake Kama Kawaida

Nilimaanisha wakati anakupa taarifa ya mimba kutoka alikuwa kwenye status gani??

Ulimwacha nyumbani jioni mimba imetoka alisafishwa hospitali or alitumia dawa if ues ni dawa zipi na kwa maelekezo ya nani?!

Ulimuuliza y hakukupigia alipojiskia tofauti (maumivu ya tumbo) or alishtukia tu imetoka

Njoo ukazie

Cc Kingsmann
 
Dawa Alimeza Jana Yake, Kama Nilivyoelezea Hapo Juu, Na Mimi Nilipofika Kazini, Nilimjulia hali na Alinijibu, Anaendelea Vizuri, Taarifa Za Mimba kutoka Amenipa Jioni baada Ya Mimi Kurudi Kutoka Kazini, Kwamba ameshtuka tu na Kuona Damu Zinamtoka
 
Alafu akafanyeje baada ya kuona damu??
Me nahisi nimchezomchafu umechezewa either mimba haikuwa yako or ni yako lkn hakua teyari kuwa mama
 
Mahusiano yamekuwa shida sana
Inawezekana mimba ni ya mtu mwingine
Ukitumia miso tumbo likianza kukata unameza flagyl unamalizia kazi
 
Alafu akafanyeje baada ya kuona damu??
Me nahisi nimchezomchafu umechezewa either mimba haikuwa yako or ni yako lkn hakua teyari kuwa mama
Hata Mimi Ndio Nahisi, Naongea nae ila Moyoni Nina Dukuduku Kweli
 
mtoa maada anatakiwa atuambie hyo mimba ilikuwa ya miez mingap!!
 
Aliekwambia Flagyl zinatoa mimba nani??
 
Mkuu kanywe tu Beer utapata majibu ya nini cha kufanya, kuna muda Beer zinasaidia sana kuleta maamuzi ya busara
 
Fwata huu ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…