Suala la Umeme: Mother House na Mpangaji kimenuka

Kiswahili lugha yangu tamu kama ziwa la mama unakwenda wapi wakati dunia imeanza kukutamani?




 
Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini?

'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake.

Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5!

Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
 
Amuwekee mita yake,mambo ya dar kushare umeme hapana jameni,kila mtu ajilipie umeme wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…