Suala la Umeme Mbande, Kisewe. Ni kesi maalumu

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
381
642
Hali ya Umeme, hapa Kisewe, Mbande ni Kesi maalumu. Wananchi wamekata tamaa kabisa kila mwananchi amenunua Taa ya kuchaji maana umeme kukatika siku mbili tatu, au zaidi ni jambo la kawaida kabisa! Tangu nizaliwe sijawahi kuona Adha ya aina hii ya umeme. Hatuwezi kufanya Kazi kabisa. Tanesco fanyeni jambo.
 
Usiwaze mkuu, kesho ndio mwisho wa matatizo yote hayo.

 
Usiwaze mkuu, kesho ndio mwisho wa matatizo yote hayo.

Impossible impossible labda mwaka 2050
 
Back
Top Bottom