mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
Naomba saidia yafuatayo; 1.Je kwa ndoa Yupi anatakiwa Kuwa mkubwa kwa Mwenzie? 2. Na ni kwa kiasi gani cha miaka awe amemzidi?
Tofauti yoyote ya umri si neno ili mradi vibabu vitumie nafasi hii kufanya upedophile. Oa yoyote kuanzia 18 na olewa na yoyote kuanzia 18. This is the golden rule. Chini ya hapo wewe ni pedophile taka usitake. Ila pia uangalia kijana mdogo usimezwe na suga mami bure ukapoteza muda maana haliwezi kukuzalia wana ukaitwa baba kama mimi.