Suala la okwi kwisha sasa

jenereta

Senior Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
146
Reaction score
40
Mi nashangaa watanzania hasa wapenda soka la bongo (simba na yanga) hatujui siasa la soka letu, suala la okwi limeisha iwe simba wameingia chaka au yanga, ni kwamba, Yanga hapa wamekosea ila wataambiwa walipe adhabu na Okwi atakosa mechi za ligi kama 3 hivi, kama kwa Ngassa tu, biashara itakuwa imeisha hapo. Tujue siasa ya soka letu jamani. Njooni MBEYA CITY hakuna Wasomali wala Wahindi sijui
 
Tatzo ni ubishi tu bila sababu mtu anaamua kuwa mbishani tu watu walopewa dhamana ya kusimamia soka la tz huwa hawapend kushugulikia jambo kwa kufuata sheria wao wanang'ang'ana na ushabiki na mabishano, wakitumia jeuri za kiswahil angali wanajua wazi utararibu ulivyo.....this make things to become hard to handle.
 
Mkuu ujuesuala hili lingekuwa rahisi kama lisingehusisha uhamisho wa kimataifa. Lingekuwa kama la Ngasa au Yondani vile, ambapo wajumbe wa kamati ya TFF walitoa uamuzi kwa kupiga kura (sio kuangalia sheria). Sasa kwa kuwa sio domestic, kidogo linakuwa nje ya uwezo wa TFF.
 

Kwa CV hii sikujibu ng'o!

Join Date : 16th December 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received: 0
Likes Given: 0
 
ndyo wapi ?bara la america kusini au? ila najua wahindi wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…