Kila chuo kina utaratibu wake,nashindwa kuelewa,ivi unaweza disco bila hata kufanya sup km gpa yako ni ndogo ama vip??
mocu chuo cha ushirika moshiKila chuo kina utaratibu wake,
We wasoma wap
chuo cha ushirika moshiUnasoma chuo gan?
Prospectus inasemajeeechuo cha ushirika moshi
Kwa Tanzania kila chuo kikuu kinatakiwa kuwa na Prospectus yake na mule ndani mna sheria za kitaaluma kuhusu mitihani na progression. Wewe kama ni mwanafunzi unaejielewa hiyo ni document moja unatakiwa kuisoma, kuitafakari. Bahati mbaya wanafunzi wengi huwa ama hawaijui au wanaidharau mpaka pale maji yanapowafika shingoni. Academic regulations huweza kuwa tofauti kati ya chuo na chuo hivyo ni muhimu kuisoma prospectus ile inayokuhusu. Prospectus nyingi ziko kwenye website za vyuo.nashindwa kuelewa,ivi unaweza disco bila hata kufanya sup km gpa yako ni ndogo ama vip??
Mimi nimesoma hapo ili udisco inatakiwa uwe na sup 7 au GPA chini ya 2nashindwa kuelewa,ivi unaweza disco bila hata kufanya sup km gpa yako ni ndogo ama vip??
Sawa mkuu kutoka jalalaniKwa chuo kikuu cha taifa, usipofika 1.8 husapui, unadisko mazima
Nyie huko wa vyuoni sijui, muco unadiscoje kama hadi kilaza matako shiteboy alifaulu?