Suala la kiimani: Kwanini Askofu wa RC akifa anazikwa kanisani?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Wadau hasa waumini wa dhehebu la kikatoliki je ni kwanini Askofu akifa huzikwa ndani ya kanisa na sio eneo la makaburi walipozikwa hata Mapadre? Nasema hivi kwani nimeshuhudia Askofu wa kwanza wa Jimbo la Mahenge marehemu Elias Mchonde alizikwa kanisani.
 
Hata orthodox kuna waliozikwa makanisani, kwa RC askofu ndio kanisa lenyewe, hivyo yule wa kwanza hupewa upendeleo huo kwa kuwa mwanzilishi wa kanisa eneo husika!
 
Sio wote, hii inafanyika kwa askofu wa kwanza/mwanzilishi wa jimbo hilo, wanaofuata baada ya hapo wanazikwa kwingine
Sidhani kama uko sahihi..! Askofu Mayala na Butibubage wa Mwanza wote walizikwa kanisani.
Hata hivyo, swali la "kwa nini" hujaljibu lakini.
 
Sidhani kama uko sahihi..! Askofu Mayala na Butibubage wa Mwanza wote walizikwa kanisani.
Hata hivyo, swali la "kwa nini" hujaljibu lakini.
Askofu mayalla Anthony hakuwa askofu wa kwanza wa kanisa jimbo kuu la Mza ( bugando)
 
Back
Top Bottom