Suala la Gender

Kama hujui Kwa nini kuna Culture na bado unajiona ni Binadamu huoni kama unatatizo la Msingi


Kama hujui ni kwanini Culture zinatofautiana baina ya jamii na jamii bado utajiona unaakili?

Intuitive knowledge
Eleza kwanini culture zinatofautiana tuanzie hapo
 
Bachelor degree in Gender and development...! Hana kazi ameamua kuwa feminist.
Mimi nasoma hii kozi ila mwanamke biologically ni dhaifui! Hakuna atakae weza kuleta huo usawa
 
Kama hujui Kwa nini kuna Culture na bado unajiona ni Binadamu huoni kama unatatizo la Msingi


Kama hujui ni kwanini Culture zinatofautiana baina ya jamii na jamii bado utajiona unaakili?

Intuitive knowledge
Sasa umehamia kwenye Culture,
Leo utatoa hadi mifano ya mizimu ya kwenu,

Haya taja tofauti ya Culture na Gender
 
Eleza kwanini culture zinatofautiana tuanzie hapo

Mbona rahisi Sana hiyo.

Binadamu tupo tofauti ndio maana culture ni tofauti; tunatofautiana mambo makuu Yafuatayo;

1. Rangi
Wapo weupe, wekundu, wanjano, na Weusi.
Nywele za kijivu, nyeusi, ugoro n.k
Macho meusi, ugoro, samawati, kijivu n.k

2. Maumbile.
Wapo wenye Nywele Kama Sufi, nywele Kama kamba, kipilipili n.k.
Warefu, wafupi, wawastani.

3. Tofauti za kijiografia hapa tuna vipengele vifuatavyo;
3.1 Tabia ya nchi, Ujangwa, utropika Savannah, uikweta, umediterania n.k
3.2 Maumbile ya Ardhi Kama milima, mabonde, tambarare n.k

Usitegemee watu wanaoishi ikweta waishi Kama watu wanaoishi Jangwani,
Usitegemee Mtu mwenye rangi nyeupe na nywele ndefu aishi Kama mtu mwenye nywele fupi na Rangi nyeusi.

Culture za kila sehemu zinazingatia maumbile ya Wanajamii husika na hapo ndipo majukumu yanapotokea,
Mwanaume anaakili yake, mtazamo wake, umbile lake hivyo hupewa majukumu na jamii yake kulingana na jinsi alivyo.
Halikadhalika na Mwanamke.

Sasa inashangaza jitu linashindwa kuelewa mambo madogo Kama hayo.

Zingatia; kuna mambo ya ku-share watu wote dunia nzima, na yaku-share na jinsia zote lakini yapo mambo ambayo kila jamii inafanya kivyake halikadhalika na jinsia
 
Sasa umehamia kwenye Culture,
Leo utatoa hadi mifano ya mizimu ya kwenu,

Haya taja tofauti ya Culture na Gender

Kweli unakichwa kigumu.

Ninyi wenyewe ndio mmesema Gender Roles zinatokana na Norms na culture za jamii alafu unasema Mimi ndio nimehamia huko.

Nilikuwa najaribu kukuonyesha kwamba elimu uliyopata imekufanya kuwa mjinga
 
Kwamba wewe kwenu ulikuwa kazi yako kula na kulala

Ulikuwa ufyeki nyasi

Ulikuwa ufagii wanja

Ulikuwa huendi kuchota maji

Maana usigekuwa ulikuwa unalelewa kimayai wewe then unataka kuleta uzi wa kutujumuisha wote
 

Sikusema kama wewe ni maskini wa fikra, mwanzo ulikataa nini na sasa umekubali nini, kumbe 'Jamii' ndio zinatoa majukumu kwa hizo jinsi mbili,

Sasa tuambie unaitoaje Gender kwenye Culture
 
Men and Women ain't the same kwenye nyanja ipi?
Usije ukaleta hoja ya manyonyo na matiti, sijui kuzaa na kuchutama,

Njoo na hoja zilizoshiba zinazoonesha Wanawake na Wanaume hawako sawa kwenye akili, majukumu na uwajibikaji

Kwa Uelewa wako Akili ni nini?
Alafu Kwa huohuo Uelewa wako thibitisha Akili ya mwanaume na Mwanamke ni sawa?

Eleza ni kitu gani kinaweka Wajibu na majukumu kiumbe hapa Duniani? Unaweza tumia mifano hata Kwa viumbe wengine Kama Simba, kuku, Mbuzi,. NG'OMBE n.k.
 
Bachelor degree in Gender and development...! Hana kazi ameamua kuwa feminist.
Mimi nasoma hii kozi ila mwanamke biologically ni dhaifui! Hakuna atakae weza kuleta huo usawa
Sasa Kama unasoma na huwezi kupambanua na kuelewa iyo degree bure kabisa
 
Sikusema kama wewe ni maskini wa fikra, mwanzo ulikataa nini na sasa umekubali nini, kumbe 'Jamii' ndio zinatoa majukumu kwa hizo jinsi mbili,

Sasa tuambie unaitoaje Gender kwenye Culture

Waalimu kweli Wana kaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamii ni nini?

Kwani ni nani aliiweka Gender kwenye Culture?
Unajua hiyo istilahi "Gender" haipo kwenye baadhi ya lugha, kumaanisha haina umuhimu, yaani ni istihali iliyozuka miaka ya hivi karibuni
 

Akili ni Mtu (hapa hakuna Ke wala Me) ambaye ana uwezo wa kufikiri, kuelewa, kuhisi, kuhoji, kuunda, kubuni, kutatua changamoto, n.k

Akili haiangalii jinsi, mfano mimi na wewe tu, mimi Ke nimewazidi akili ninyi Me mlojazana kwenye huu uzi,

Kila Mtu/Kiumbe kina wajibu na majukumu ili kiweze kuishi, mfano ni wajibu kuishi kwenye nyumba ili mjistiri na pia ni jukumu kutafuta chakula ili mle msife,
Ni wajibu Wazazi kusomesha watoto na ni jukumu la watoto kuipenda na kuithamini Elimu,

Ni Wajibu wa Daktari kumuhudumia Mgonjwa na ni jukumu la Mgonjwa kupokea maagizo ya Daktari na kuyafanyia kazi,

Ni wajibu wangu kuwaelemisha vilaza kama nyie na ni jukumu la nyie vilaza kuelemika.
 
Mtoa mada inabidi ukae na wanaume kwenye jamii na ushirikiane nao halafu utafute wanawake ushirikiane nao kisha utagundua gender balance, sijui equally and equity ni upumbavu tu.
 
Waalimu kweli Wana kazi

Jamii ni nini?

Kwani ni nani aliiweka Gender kwenye Culture?
Unajua hiyo istilahi "Gender" haipo kwenye baadhi ya lugha, kumaanisha haina umuhimu, yaani ni istihali iliyozuka miaka ya hivi karibuni
Nakwambiajeeee leo utaruka ruka kama bisi lakini spana lazima zikuingie,

Kwa hiyo tumetoka kwenye culture na sasa tunahamia kua Gender haikuwapo miaka ya nyuma bali ni istilahi iliyoletwa miaka ya hivi karibuni,

Haya, imeletwa na nani hiyo Gender???
Ukimaliza kujibu pitia huu uzi mwanzo mwisho taratiiibu ndipo utakapoona ukiazi wako uko wapi
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa maana hizo ulizotoa imenibidi nikubali Mimi ndio nilikuwa mjinga kukuona unaakiliπŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana Mimi kila siku nawaambia Vijana angalau Watafute mwanamke mwenye akili, ona sasa! Mtu hajui tunachokizungumzia hapa.

Kila kiumbe kinamajukumu na wajibu lakini IPO tofauti ya kiwajibu na ninajukumu kulingana na Akili, umri na jinsia.

Akili na tabia ya mwanaume inampa Mwanaume majukumu na wajibu wa kiume.
Akili na tabia za mwanamke inampa mwanamke majukumu na wajibu wa kike.

Yapo majukumu wanaweza kushirikiana (ya wote) lakini kuna majukumu na wajibu ambazo kila mmoja anajitegemea.

Nilikosea kukuchukulia unauwezo wa kutafakari.
 

Rudi darasani ukasome, Istilahi Gender imeanza kutumika Karne ya 15,

Culture ipo tangu kuumbwa Kwa dunia
 
Sasa hivi ndio you dont give a fvck,
Sindano zimekuingia ipasavyo
Women get the last word in every argument , anything you say after that,it's the beginning of a new argument βœοΈπŸ€ŒπŸ˜‚

Nafahamu hili ndio maana nakuzungusha nitakavyo...

Nimemaliza.
 

Umeuliza swali umejibiwa kulingana na swali lako, ulijua mie mwepesi mwepesi eeh,

Eti akili na tabia za mwanaume zinampa majukumu na wajibu wa kiume, akili ni nini? Huja tetea hoja kua Akili ya Mwanamke na Mwanaume ni tofauti, hayo Majukumu ambayo kila mmoja anajitegemea ni yapi???

Debe tupu wewe unapiga kelele usiku na mchana lakini huna ujualo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…