Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Utamzungusha nani wewe kiazi,Women get the last word in every argument , anything you say after that,it's the beginning of a new argument [emoji3578]🤌[emoji23]
Nafahamu hili ndio maana nakuzungusha nitakavyo...
Nimemaliza.
😂😂Ngoja nikuacheUtamzungusha nani wewe kiazi,
Huna ujualo
I'm Bored.Na wewe utatoka kifua mbele kujiita msomi,
Msomi anayeleta hoja za kipuuzi, Binaadam atajionaje Mnyama? Hujui hata maana ya Gender Identity halafu unapuyanga puyanga kama Kuku kishingo.
Debe tupu
Unaona?Shida yako unabisha kwa kitu ambacho hukijui
Ww ujanijibu swal languI'm Bored.
Lipi hilo? mimi sijaona swali.Ww ujanijibu swal langu
Nimechanganya sio ww bahat yakoLipi hilo? mimi sijaona swali.
Hebu liweke hapa au uliza tena.
Mimi sijawahi kuchanganya wala kukosea, jibu yale maswali mkuu.Nimechanganya sio ww bahat yako
ShowMimi sijawahi kuchanganya wala kukosea, jibu yale maswali mkuu.
Otherwise hii thread nzima ni moot.
Very good.Show
Kwenye mapenzi mwanaume dhaifu na mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume kwenye mapenziVery good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?
Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Udhaifu wa mtu unaweza kuwa ata kwenye kuamini watuVery good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?
Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Watu awaelewNaona Sociology ndani ya jeiefu
🤣🤣🤣Watu awaelew
Ww ukisoma Hapa Kuna kitu kigeni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi sioni kipya hapo cos nimewahi kusoma kitabu Cha C.Wright Mills THE SOCIOLOGICAL IMAGINATION......... SOCIETY VS SOCIAL REALITY..........Ww ukisoma Hapa Kuna kitu kigeni?
Niambie ninachoongea hakina ukweli?Mi sioni kipya hapo cos nimewahi kusoma kitabu Cha C.Wright Mills THE SOCIOLOGICAL IMAGINATION......... SOCIETY VS SOCIAL REALITY..........
NimekujibuVery good.
Sasa niambie Mwanaume ni dhaifu kivipi "kwa" mwanamke?
Na Mwanaume ni dhaifu kivipi "Ukilinganisha" na mwanmke?
Hayo ni maswali mawili tofauti, yajibu.
Uko sahihi,mambo mengi yaliyopo kwenye jamii zetu ni "social constructed"Niambie ninachoongea hakina ukweli?