Suala la Bandari CCM inabidi tujiandae sana

Suala la Bandari CCM inabidi tujiandae sana

Idofu

Senior Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
124
Reaction score
214
Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni, nimemsikiliza Msigwa, nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni, bado naona hawajakata kiu ya Watanzania kuhusu hilo Suala.

Swali ambao najiuliza, kwanini Mwanasheria Mkuu amebaki kimya? Kwa nini wale wabunge angalau wanaoheshimika mbele wananchi wamebaki kimya kwenye hili sakata? Bahati mbaya sana Waziri husika hana ushawishi mbele wa wananchi na Watanzania kwa ujumla, kuendelea kumtegemea Mbarawa kuwa atawaelimisha wananchi, tunajidanganya.

Hili suala sio dogo kabisa, chama kiwazue wanasiasa ndani ya CCM kulizungumzia na badala yake, watumike watendaji walioko Serikalini kuja kutolea ufafanuzi.

Rais wetu wa Awamu wa Sita alianza vizuri sana, lakini kwa hili la Bandari limefuta mema yake yote aliyoyafanya ndani ya miaka miwili!
 
Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni,nimemsikiliza Msigwa,nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni,bado naona hawajakata kiu ya watanzania kuhusu hilo Suala!!

Swali ambao najiuliza,kwa nini Mwanasheria Mkuu amebaki kimya?, Kwa nini wale wabunge angalau wanaoheshimika mbele wananchi wamebaki kimya kwenye hili sakata?,bahati mbaya Sana Waziri husika hana ushawishi mbele wa wananchi na watanzania kwa ujumla,kuendelea kumtegemea Mbarawa kuwa atawaelimisha wananchi tunajidanganya!!

Hili Suala sio dogo Kabisa,Chama kiwazue wanasiasa ndani ya CCM kulizungumzia na badala yake,watumike watendaji walioko Serikalini kuja kutolea ufafanuzi!!

Rais wetu wa awamu wa sita alianza Vizuri Sana,lakini kwa hili la Bandari limefuta mema yake yote aliyoyafanya ndani ya Miaka miwili!!
Hamna mbunge wa CCM alioko juu ya msimamo wa chama usidanganyika, na hamna mtanzania anae weza kuzuia CCM kutwaa madaraka......wewe angalia familia yako na wajuku wako period.
 
Nimemsikiliza Waziri Mbarawa Bungeni,nimemsikiliza Msigwa,nimewasikiliza baadhi ya wabunge wa CCM Bungeni,bado naona hawajakata kiu ya watanzania kuhusu hilo Suala!!

Swali ambao najiuliza,kwa nini Mwanasheria Mkuu amebaki kimya?, Kwa nini wale wabunge angalau wanaoheshimika mbele wananchi wamebaki kimya kwenye hili sakata?,bahati mbaya Sana Waziri husika hana ushawishi mbele wa wananchi na watanzania kwa ujumla,kuendelea kumtegemea Mbarawa kuwa atawaelimisha wananchi tunajidanganya!!

Hili Suala sio dogo Kabisa,Chama kiwazue wanasiasa ndani ya CCM kulizungumzia na badala yake,watumike watendaji walioko Serikalini kuja kutolea ufafanuzi!!

Rais wetu wa awamu wa sita alianza Vizuri Sana,lakini kwa hili la Bandari limefuta mema yake yote aliyoyafanya ndani ya Miaka miwili!!
Unawalaum bure wabunge wa CCM na wanasiasa wa CCM maan hakuna mwenye mamlaka ya kupinga miswada yoyote ya serikali inayoongozwa na mwenyekiti!!
 
Kuna kipengere cha 27 cha mkataba kinasema ni marufuku kuuvunja mkataba huu kwa namna yoyote.
Eti mpaka hapo tunasema mkataba hauna dosari yoyote ni mzuri!
 
Back
Top Bottom